
💥Welcome to #MESHchallenge! Share with the MESH Community accomplishment ✨ moja deadly uli make last week kwa #hustle yako na unaeza get chance ya ku-get ka-boost kiasi ya 2K. Hivi ndio kunaenda! Post photo iki-show achievement yako ya last week na brief description ukianza na hashtag #MESHchallenge. The Community inadai kujua vile uli achieve kwa ku-describe hizi vitu tatu zimeeekwa kwa poster👇👇
Twende kazi we have mpaka Monday noon🕛 ku-post achievements zetu. 3️⃣ MESHer’s watakua rewarded 🏅 on Tuesday 13th Apr 2pm🕑 na 2k 💰 each

0
0
0