
π π MESHer's , for the 1st time MESH Community ina introduce #MESHkonnect #LiveShowsποΈ Tutakua tukibonga na members wamebobea kwa sectors tofauti. Starting #Tomorrow Thurs 15th Apr 2PMπ , Captain Ashok mwenyewe atakua aki-host members wako kwa #ICT na Biz ya #CyberCafesπ₯οΈπ»πΎ
Make sure uko ndani ya MESH hio time - kaa rada na maswali/ideas/advice/suggestions kuhusu hii sector. Usikose bonge la show! π₯π₯
#MESHkonnect

0
0
0