
Leo we are featuring one of our own Nixon Tash.
Niaje wenzangu, Mi naitwa Nicxon Matata but najulikana sana kama Nixon Tash. Hustle yangu ni Kinyozi na nimekua kwa hii biz for some time like 10 years hivi. Nilianza hii biz nikiwa mashinani Makueni county before I moved to Machakos town penye currently niko . Hii biz ya Barbering imekua biz nzuri sana , you create employment na kuongeza skills.
Nimekua na Challenges since Covid-19 iliingia in the country but am still strong and I had to be innovative to cope with the pandemic. So ilibidi nikaanza #MobileShaving on certain days juu some of our clients wana-appreciate sana nikiwafikia kwa nyumba zao na kushave watoto pia during this time. Ku-sharpen #Skills pia muhimu so I do access exams in Barbering in different parts under NITA Courses.
Naweza advise wasee hivi, whatever you do , do it the best, give your best and work with passion. Hakuna pesa huwa inajiandika imepatikana kwa kazi fulani piga hustle jijenge , jenga wasee na more so pray God to uplift your hustle.
Am willing kusaidia wasee hapa MESH tuinuane. Tuchapiane hapa kwa comments. ASK ANYTHING niko hapa kujibu.
Find me hapa MESH as @Nixon Tash, FB Nixon Tash, IG #nixontash


