
Jenga hustle yako na Shujaaz MESH
Hii ni offer exclusive ya wana-MESH! Tuko delighted kupeana opportunity ya kupata cash grant ya 3k pap direct kwa phone yako ku-help members ku-get hustles zao back on track.
Hii dooh tumechanga kama community ya Shujaaz MESH na tunataka benefit iende kwa members. Hii Cash grant ni ya ku-assist members kuinua hustles zetu. To apply there is a simple survey that you need to take, it won’t take to long.
To take the survey enda tu kwa notifications zako. Tuchangamke hii dooh iko limited na kila msee haezi get. Kama uko interested take the survey now.
The Shujaaz MESH Community

0
0
0