
✋✋HOW TO PARTICIPATE IN #MESHChallenges #Challenge ya this week nikujuana kwa ground. As a MESHer unawakilisha mtaa/area gani na Hustle yako ni gani? Kama mtaa yako iko well represented tutawa-match halafu tubonge na one of our partners ajenge Top 3 Groups of MESHers in same Biz category na wametoka same hood.
Wakilisha #Mtaa yako!! 1> Mtaa 2> Biz unachapa

0
0
0